Exclusive: Diamond Ndani ya Mjengo na Wanae Ndani ya South Afrika



Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao. 
Exclusive: Diamond Ndani ya Mjengo na Wanae Ndani ya South Afrika Exclusive: Diamond Ndani ya Mjengo na Wanae Ndani ya South Afrika Reviewed by Siraj Kingi on 10:48:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.