Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili.


Wakazi wa eneo LA Iwambi lililopo Jijini Mbeya wamekumbwa na Taharuki baada ya jeneza kukutwa eneo la makaburi ya Iwambi Hulu likiwa halina mwili Japo ndani yake limekutwa limepakwa damu pamoja na dawa za kienyeji zikiwa zimehifadhiwa Ndani ya jeneza hilo.



Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili. Taharuki Mbeya.. Jeneza lakutwa halina mwili. Reviewed by Siraj Kingi on 17:13:00 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.